SokoMkononi
SokoMkononi

Pata Mali Bora Moja kwa Moja kutoka kwa Madalali/Wauzaji Wanaoaminika nchini.

Vinjari kwa uhuru bila kujisajili — soma maelezo, angalia picha, linganisha bei. Miamala yote inafanyika salama ndani ya Deal Room moja, kuanzia ofa ya kwanza hadi malipo ya mwisho.

Tunakupa aina nyingi za mali kwenye jukwaa moja

Kuanzia nyumba hadi mashine nzito — tafuta na ununue kwa kategoria iliyo wazi.

Kategoria zinakuja hivi karibuni.

Matangazo Yanayovuma

Matangazo yanakuja hivi karibuni.

Kwanini uchague SokoMkononi na siyo majukwaa mengine.

Historia Isiyofutika

Kila ofa na counter-offer inahifadhiwa kwenye Deal Room — hakuna anayeweza kufuta au kubadilisha makubaliano baadaye.

Ada ya Utendaji Wazi

Ada ya utendaji inakatwa kiotomatiki baada ya deal kukamilika — hakuna makisio, hakuna mzozo wa mahesabu. Kiwango cha sasa: ....

RBAC ya Kweli

Dalali/Muuzaji, Mteja, na Admin kila mmoja anaona anachostahili tu — hakuna taarifa za kuvuja kati ya akaunti.

Inafanya Kazi kwenye Simu na Kompyuta

SokoMkononi imetengenezwa kufanya kazi kwenye vifaa vyote hasa simu kwasababu ya injini za utafutaji na wingi wa watumiaji.

Malipo Ndani ya Mfumo

Malipo yanafanyika ndani ya Deal Room chini ya utaratibu uliokubaliwa, siyo kwa mazungumzo ya nje yasiyofuatiliwa.

Audit Logs Kamili

Kila kitendo nyeti kinahifadhiwa kwa ajili ya ukaguzi — muhimu ikitokea mgogoro.

Jukwaa Letu Linafanyaje Kazi?

Hatua tatu rahisi kutoka kuvinjari hadi kufanya biashara salama.

1

Vinjari au Tafuta

Tafuta unachokitaka bila kuingia gharama au kujisajili — soma maelezo na uangalie picha kwa uhuru.

2

Wasiliana na Dalali/Muuzaji

Pata namba au njia ya moja kwa moja ya kuzungumza na dalali/muuzaji aliyeweka tangazo husika.

3

Fanya Biashara Salama

Kamilisha makubaliano na ufanye manunuzi yako kwa urahisi ndani ya Deal Room.

...

Ada ya Utendaji — Wazi Tangu Mwanzo

SokoMkononi haikatwi ada yoyote kwa kuvinjari au kuweka listing. Ada ya Utendaji inayoonekana hapo juu ndiyo asilimia pekee inayokatwa — na hiyo ni tu baada ya deal kukamilika ndani ya Deal Room. Kiwango hiki kinadhibitiwa na Admin.

Usalama wa Miamala na Utatuzi wa Migogoro

Jukwaa letu linatanguliza usalama wa kila muamala kwa kuwa na taratibu zilizowekwa wazi za kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza.

Uidhinishaji wa Matangazo

Kila tangazo linapitishwa na Admin kabla ya kuwekwa hadharani, kupunguza uwezekano wa matangazo ya udanganyifu.

Kitengo Maalum cha Migogoro

Malalamiko yanachunguzwa na timu maalum, na uamuzi unatolewa kwa uwazi kwa kuzingatia ushahidi uliopo.

Malipo Salama Ndani ya Mfumo

Malipo yote yanafanyika ndani ya Deal Room, kuepuka hatari ya ulaghai kupitia mazungumzo ya nje ya mfumo.

Rekodi Kamili za Ushahidi

Mazungumzo, ofa, na makubaliano yote yanahifadhiwa kama ushahidi wa kudumu wa muamala mzima.

Njia Mbili za Kuripoti

Wanunuzi na wauzaji wanaweza kuripoti tatizo moja kwa moja kwenye dashibodi zao au kupitia mawasiliano ya msaada.

Msaada kwa Wahusika Wote

Timu yetu inapatikana kutoa mwongozo na ushauri kwa wanunuzi na wauzaji wakati wa mchakato mzima.

Watu Wanasema Nini Kuhusu SokoMkononi

Maoni kutoka kwa wanunuzi na wauzaji wanaotumia jukwaa letu

Juma A.

"Nimeuza nyumba 3 kwa mwezi mmoja! SokoMkononi imenisaidia kufikia wateja wengi. Mfumo ni rahisi na Ada ya Utendaji ni nafuu."

Juma A.
Dalali/Muuzaji · Dar es Salaam

Jukwaa linahusisha Dashibodi tatu zinazofanya kazi kwa kushirikiana.

Kila mhusika ana nafasi yake, na RBAC inahakikisha hakuna anayeona zaidi ya anachoruhusiwa.

Akaunti ya Dalali/Muuzaji

Muuzaji

  • Usajili na uthibitisho (KYC)
  • Kuweka listings na masharti ya ada ya utendaji
  • Kujadiliana kupitia Deal Room
  • Kufuatilia mauzo na ada ya utendaji
Akaunti ya Mteja

Mnunuzi

  • Utafutaji kwa vichujio
  • Ofa na counter-offer
  • Malipo ndani ya mfumo
  • Uthibitisho wa kupokea na rating
Akaunti ya Admin

Msimamizi

  • Kuidhinisha listings
  • Kusimamia migogoro (disputes)
  • Kudhibiti Ada ya Utendaji
  • Ripoti za mapato na audit logs

Jinsi ya kukamilisha deal moja ndani ya deal room

01

Uwekaji Mali

Dalali/Muuzaji anaweka listing, inapata Listing ID na kusubiri idhini ya Admin.

02

Inquiry na Ofa

Mteja anatafuta, anauliza, au anatoa ofa ya bei.

03

Deal Room

Historia yote ya majadiliano inahifadhiwa na haiwezi kufutwa.

04

Malipo

Malipo yanafanyika ndani ya mfumo baada ya makubaliano.

05

Ukamilishaji

Mteja anathibitisha, Ada ya Utendaji inakatwa, salio linabaki kwa Dalali/Muuzaji.

Pata bidhaa kwa bei halisi kutoka kwa madalali/wauzaji wanaoaminika.

Jisajili kama Mteja

Tangaza biashara yako kwa maelfu ya wateja kila siku.

Jisajili kama Dalali/Muuzaji